Friday, January 16, 2015

Mrembo huyo ambaye hivi sasa anaongoza taasisi yake inayofahamika kama Sitti Tanzania 2015, alipofika mjini hapa, baadhi ya mashabiki wake walijipanga kutokea eneo la Nanenane na kuambatana naye hadi katika hospitali ya mkoa ambako alitoa msaada wa vyandarua katika wodi ya wazazi.SOMA ZAIDI>>

0 comments:

Post a Comment