Posted by Williammalecela.com on Friday, January 16, 2015
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Mfalme Letsie III wa Lesotho(Kushoto), Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia(wapili kushoto) na kulia ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete.Viongozi hao walihudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais Mpya wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi zilizofanyika jijini Maputo Msumbiji jana(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment