Sunday, January 18, 2015

BREAKING NEWS:
BREAKING NEWS:
Gari jipya la kifahari kabisa la Bwana Rugemalila wa VIP ENGINEETING aina ya RollsRoyce lawasili Dar Es Salaam jana kwa Ndege ya Cargo ya kukodi ya KLM.
Tukio hili liliwaacha na taharuki wafanyakazi wa kiwanja hicho cha Ndege.
󾮚󾮚󾮚

0 comments:

Post a Comment