Diamond Platnumz toto la kimanyema
baada ya kupost picha hiyo hapo juu inavyo onekana chini ni coment za mashabiki wake baadhi nihatari kwa kijana Mondi bin Laden kutokana na kila mtu kum judge kitofauti na kwa aina yake kutokana na kupost picha za tofauti na kuacha wengine kushangaa na kuona project inakuwa mwendelezo wa season kwenye safari ya kijana huyu wa tandale hebu jisomee mwenyewe.




0 comments:
Post a Comment