Ruby International ni campany ya Video na Audio inafanya vizuri sana katika tasinia hii ya muziki japo kuwa kwa sasa ndo inaanza kufamika kwa watu kutokana na kuanzisha band ambayo inahusisha wasanii vijana kama MAYA ,MAPIPA na wengine.
Kutokana na tasinia ya sanaa hususani muziki umekuwa kunachanga moto nyingi ambazo wasanii pamoja na mamejeja zao wanakuwa wanazipitia jana LEMUTUZ BLOGU YA WANANCHI MEDIA LIMITED tulitia maguu katika studio za Ruby recod na kujionea mambo kadha wa kadha lakini katika yote hayo tuliambiwa nivema tukaka mkao wa kula kwasababu vitu vilivyo pikwa kwa sasa huu ndo muda wake.Alimaliza kwa kusema hivyo meneja wa RUBY BAND madame Ruby.

Ruby Band and Bagdady Efm
Ruby Band

0 comments:
Post a Comment