Sunday, January 18, 2015


Taarifa zisizo na shaka ni kuwa Makaonda alimtumia Mrisho Mpoto katika mtego wake huo,Mpoto aliufanikisha mtego huo pahala alipopanga kuonana na Bwana Lowasa kusalimia, kulikuwa na camera maalumu zilizotegwa kwa juu, alimsalimu na
kumuimbia mashairi Lowasa ambayo yalimfanya Mh Lowasa kufurahi na kucheka baada ya kusifiwa na mashairi hayo
Walikaa mezani na alimpa mpoto milioni 50 hapo hapo akitaka atunge wimbo nakubadilisha mashairi ya kumsifia Mzee Sitta na badala yake pamoja na wimbo wa Mjomba uwe ukimsifia yeye Lowasa,alimwambia kuwa ata mpa milioni 500 endapo kazi hiyo itakuwa nzuri na akiendeleea kushirikiana nae katika safari yake ya kwenda ikulu
Mara baada ya mazungumzo hayo Mpoto alishtushwa sana na kupigiwa simu na watu wengi sana wakimlaumu kuwa anatumika kisiasa na wana siasa na kutumiwa kipande cha vidio akimchekesha mfalme ili apate kula
Tangu hapo Mrisho amekuwa akilalamika sana kwanini alirekodiwa bila yeye kujua na kwa kamera ambayo ilikuwa imefungwa juu ? na baada ya kuonyeshwa kipande kizima cha vidio hadi akipokea kiasi hicho cha milioni 50,Mpoto ameumia sana amerejesha fedha zote akisema hawezi shiriki rushwa na tayari fedha hizo anazo Makonda ambapo atazikabidhisha kwa kamati ya maadili ya CCM pamoja na ushahidi huo wa vidio
MAKONDA AMEPANGA KUWEKA KILA KITU HADHARANI HIVI KARIBUNI KUTHIBITISHA MANENO YAKE YA AWALI MWAKA JANA KUWA MH LOWASA AMEKUWA AKIHONGA WATU MAMILIONI NA KUKIHARIBIA CHAMA SIFA KIKIONEKANA KUWA NI CHAMA CHA MAPESA KWENDA IKULU na kwakuona kipande chote cha vidio ambayo Mpoto anachukua milioni 50 tembelea www.mtizamohuru.co.tz mara baada ya makonda kuzungumza na wanahabari akikabidhi pesa hizo kwa Mzee Mangula
Sasa kitazame kipande hiki robo. https://mail-attachment.googleusercontent.com/attachment/…/…

0 comments:

Post a Comment