
Msanii wa Hip hop Kanye west
pamoja na mke wake Kim - Kardashian huwenda siku za usoni wakaongeza familia kutokana na ile hari ya muonekano wa Kim katika kila kona anayokatiza na rapper huyo ambapo katika Magazine moja ya nchini marekani Kim alifunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto mwingine na kusema hivi karibuni itakuwa hivyo alifunguka mwanamama Kim Kardashian .
0 comments:
Post a Comment