Thursday, January 29, 2015


Mwanamama huyu  Queen Latifa leo imekuwa ni hatari sana baada ya kuonekana pande za Beach moja nchini Brazil  akila bata na watuwake wa karibu licha yakuwa na umri upatao miaka 44 lakini bado mama huyu anaonekana mchanga na msichana kabisa tofauti na umri wake 


Queen Latifa


Categories:

0 comments:

Post a Comment