Friday, January 9, 2015

Show ya Mkasi ya wiki iliyopita imetufanya tufahamu mambo 10 muhimu tusiyoyajua kutoka kwa Diamond kama ifuatavyo:
1. Yupo kwenye mazungumzo na label moja kubwa duniani ambao walimtafuta baada ya kufanya show ya Big Brother Africa.
2.Ana simu nne na moja ina line mbili, hivyo ana line tano.Simu yake huiweka silent muda wote kwakuwa
zinapigwa muda mwingi. Anayo moja maalum ambayo watu wengi hawaijui.
3. Ana nyimbo 133 ambazo ameshazirekodi tayari.
4.Mama yake alikuwa anampeleka kwenye talent show na kumsubiria hadi usiku mpaka aperform ndo wanarudi wote. Ndugu zake wengine waliona anamdekeza mwanae. 
SOMA ZAIDI>>>

0 comments:

Post a Comment