
Mwanafunzi mmoja ametoa kali ya mwaka kutoka University of Hawaii ambapo ilikuwa ni siku ya graduation yake akipokea cheti chake cha kuhitimu katika chuo hicho akichukua Degree moja lakini alipopokea cheti chake aliamua kuvua nguo zote mbele ya kadamnasi ya watu na kutembea kurudi alipokuwa amekaa.
Baada ya kupokea cheti chake aliaanza kuchambua nguo moja moja na kubaki na ile ya ndani na kuwa angalia maelfu ya wahitimu pamoja na wageni waliofika siku hiyo kwa ajili ya kusherekea mahahafali huku akinyajua juu cheti chake.PICHA ZAIDI>>
0 comments:
Post a Comment