Shilole na nuhu mziwanda ndio habari ya mujini, haya mapenzi ya wasanii hao yametake another level, kuna msemo usemwao kuwa wagombanao ndio wapatanao, itakumbukwa kipindi cha nyuma mapenzi ya watu wawili hao yalishawahi kuingia dosari na kuachana kabisa, but all in all yalikuja
kufufuka na kuvuka mipaka, mwanadada shilole amefunguka yakuwa amekuwa na mapenzi ya dhati na ya kupindukia na mwanadada huyo kiasi ambacho hata akiskia mlio wa simu ya sms ukiingia kwenye simu ya bwana wake anashtuka, okay mara nyingi mapenzi ya wasanii kwa wasanii hayadumu but let us wait n c kwa wapenzi hao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment