Posted by Williammalecela.com on Wednesday, January 28, 2015
Kama hukusikiliza U heard ya leo January 27, inahusu ishu inayosemekana kuwa msaniiShilole alimpiga mpenzi wake mwanamziki Nuh Mziwanda katika tamasha lililofanyika hivi karibuni na kupelekea watu mbalimbali waliokuwa eneo hilo kuamulia ugomvi huo.
Soudy Brown alipiga story na Shilole ambae amesema kuwa halikuwa swala kubwa kiasi hicho ila watu wamelikuza kwani walikwazana kidogo kimapenzi, na kwa sasa wako kawaida hawana tatizo.
0 comments:
Post a Comment