Hannah Winterbourne baada ya kufanyiwa operation na kuwa mwanamke
|
Afisa wa Jeshi Nchini uingereza amechukua uamuzi mgumu baada ya kujibadilisha jinsia yake ya kiume na kuwa mwanamke.Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Hannah Winterbourne amesema aliishi maisha ya kuzuga lakini alishindwa na hatimaye kubadilisha jinsia yake na kuwa mwanamke.Afisa huyo ana mwaka mmoja sasa toka ajibadilishe jinsia yake.
Afisa Hannah Winterbourne kabla ya kubadilishwa jinsia yake alipokuwa nchini Afghanstan
Afisa Hannah Winterbourne sasa anaonekana akiwa najinsia ya kike
Afisa Hannah Winterbourne akijipodoa








0 comments:
Post a Comment