Msani
Nasib Abdul ‘Diamond’ amechaguliwa kuwa mmoja wa wasanii
watakaotumbuiza kwenye hafla ya utoaji tuzo za mwanasoka bora Afrika
2014.
Diamond
atatumbuiza katika tuzo hizo ambazo wachezaji 25 nyota barani Afrika
wamechaguliwa kugombea tuzo hizo. Hafla hiyo itafanyika Januari 8, 2015
jijini Lagosi Nigeria.

0 comments:
Post a Comment