Friday, February 20, 2015
DIAMOND ATOA SABABU ZA KUSHINDWA KUHUDHURIA MSIBA WA BABA YAKE DULY SYKES
Posted by Williammalecela.com on Friday, February 20, 2015
Diamond Platnumz ni miongoni mwa marafiki wa karibu wa msanii Dully Sykes ambaye weekend iliyopita alimpoteza baba yake mzazi Ebby Sykes, lakini hakuweza kuhudhuria msiba huo kutokana na sababu ambazo amezitoa leo.
Diamond ambaye wakati msiba huo unatokea alikuwa Zanzibar na mpenzi wake Zari, ameelezea sababu zilizomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi.
“Watu waliniona niko zanzibar lakini walikuwa hawajui nimeenda kufanya nini,” Diamond
ameiambia 255 ya XXL ya Clouds FM. “Usiangalie kila unachokiona Instagram ukajua mtu labda kwasababu alikuwa anafanya starehe. Niko katika kipindi ambacho sio kizuri kwangu mimi na familia yangu kwasababu kuna vitu ambavyo siwezi kuvizungumza lakini, na siwezi kuviweka kwenye media ndo maana watu wengine wanaweza kuniona nacheka lakini […kwanza mama yangu anaumwa na anaumwa sana sijawahi kulizungumza hili ndo nalizungumza hapa, hapa ninapoongea na wewe yupo India, kuna vitu vingi vinaendelea, siwezi kusema nilikuwa Zanzibar nafanya nini, inawezekana
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Categories:
udaku
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment