Posted by Williammalecela.com on Saturday, February 21, 2015
Aliyekuwa
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Dkt. Wilbroad
Slaa amedai kusikitishwa na kitendo cha baadhi ya maaskofu kujitokeza
kujibu hoja yake juu ya maaskofu kuhongwa bila kusikiliza hotuba
yake.Akizungumza katika kipindi cha mahojiano maalam,
0 comments:
Post a Comment