Stori: Laurent SamattaSTAA wa sinema za Kibongo, Lungi Maulanga, amesema baada ya kufunga ndoa ya siri Novemba, mwaka jana na Jonson, Raia wa Cameroon, walidumu kwa muda mfupi kwenye ndoa na sasa wameachana.Akifafanua undani wa sakata hilo, Lungi alisema alikubali kuolewa na mwanaume kwa ajili ya yeye kujipatia fedha na hakuwa akimpenda kwa dhati.
0 comments:
Post a Comment