Jux ni jina jingine bongoflevani kwa nyimbo nzuri kama ‘uzuri wako‘ na nyingine zikiwemo kolabo kama ya Young Dee ‘sio mchoyo’
Stori kwenye headlines now ni mjengo alioujenga Jux… ambapo sasa rasmi ameingia kwenye list ya mastaa wa bongo na mijengo yao akiwemo Shilole
anaejenga, Diamond Platnumz ambae inaripotiwa anakaribia kuhamia kwake,
pia Nay wa Mitego pia anayejenga ghorofa wakati Idris Sultan mshindi wa
BBA 2014 amehamia kwenye nyumba yake wiki iliyopita. Stori kwenye headlines now ni mjengo alioujenga Jux… ambapo sasa rasmi ameingia kwenye list ya mastaa wa bongo na mijengo yao akiwemo Shilole

Baada ya Jux kupost picha ya nyumba yake Jux alionyesha furaha yake akitamani kuhamia baada ya kutimiza ndoto zake.

0 comments:
Post a Comment