Kila zilipowekwa, wengi wa bonyeza kitufe cha kuzipenda na wengine waliandika maoni yao huku wengi wakiwasifia kwa jinsi walivyopendeza, na wengine walienda mbali zaidi kuwa wamependezana hivyo ingependeza hii iwe ni Le PROJECT mupyaaa.
Ila baadhi ya watu walibuka na kuponda bila sababu kibaya zaidi ni pale baadhi yao ambao sio waungwana na wamekosa maadili walikuwa wakiporomosha lugha za maji taka nakuleta mabishano ambayo huchafua kabisa “post” za watu.
Tujirekebishe jamani hata kama watu huwapendi sio vyema kutumia akaunti feki na kutukana watu kwa chuki zako binafsi.
Hapa Wema na Ommy Dimpoz mmetokeleze, pokeeni LIKE!!
Mzee wa Ubuyu
Edwin Kabigumila ValentinoIla mimi binafsi namshauri Omy kama anataka Jina lake lisianze kuingia dosari na scandal za mara kwa mara na kuanza kuchafuka, ni bora asiwe anapost pic ambazo amepiga na ma-star wenye vituko na scandle za mara kwa mara hasa mitandaoni. ukizingatia mashabiki wake ndo hao hao watakao anza kumshusha thamani kwa kulichafua jina lake. Omy Ommy Dimpoz funguka mdogo wangu bado unatisha ndani ya game na bado unanafasi nzuri ya kufanya vizuri zaidi. Nai Nai.............. i like that song. TUPOGO.









0 comments:
Post a Comment