MASINEMAAA YA IG
![]() |
| from Zari to Esma |
![]() |
| from Wema to Esma |
Naomba uweke hii topic leo ambayo nimekutumia katika email picha mbili tofauti kutoka huko IG ili wadau wa mambo tudadavue kwenye uwanja huu wa sintah.com maana ilikuwa ni balaaa mpaka Team zote mbili kushindana na wafuasi wao kum wish mdogo wa Chibu......
wewe kama mdau unaona hii imekaaje???


annaumia rohoni khaaaa, asepe hukooo si alimwacha.
SASA MA KU SHOW KWA CLUBS KOTEEEE HAKUFANIKIWA MAANA HAKUNA MEDIA AU BLOG ILIRUSHA PICHA ZAKE, AKAE NA NYOTA YAKE SASA DAI KAONDOKA KWA KUACHWA.
MTOTO WA TANDALE JUUUUUUUUUUU
CHEZEA BARAKA ZA MUNGU UKIONE.
PETIT MAN HUYO KIBARAKA ATA MOVE ON ONE DAY AKIMALIZA KUCHOTA PESA VIA WEMA. AKILI KUMKICHWA ANANYONYWA AKILI NA MBURULAZ NOW ILA ANAPATA PESA.
AACHE KUSHINDANA NA MRD D BILLION, AKAE KIMYA NA BABU YAKE, MKWE ANAJIZESHA SHUTI KULA RAHA BROOM ONLY NO PHOTOS.
PETIT MAN AKIJIUZULU WEMA KISHNEI
HIYO NI FACT, NDIO AJIGONGE KWA KUJIBU KIMASHINDANO...ZAIDI NDIO NINI?
ANA DAMU NAO WOTE HAO
MFTYUUUUUUUUU KUJITAFUTIA JIA, JUZI BILLS KAZOMEWA. ATULIE NA MABABU MWENYE PESA WAKE.
huko nature ndo kiboko yako bibi bomba wee.
EX KAANDIKA TUNAKUPENDA ZAIDI/
AENDE AKAPUMZIKE NA BABU YAKE, SI ALIMWACHA CHIBU NINI KUJISHAUA KUTWA KUTAKA KUJUA YA CHIBU VIA MFANYAKAZI WAKE NA MKEWE.
BORA ASINGEANDIKA HIYO KUPENDA ZAIDI KWA MSISITIZO UTAZANI ALIZALIWA NA ESMA AU PETIT NDUGU YAKE
HAPO WEMA KACHAMKA HASWA...WIVU MBAYA
SIJUI KWANINI HUWA HAWEZI KU MOVE ON NA MAISHA YAKE NOW HASWA NA MABABU WENYE PESA NA KUMPA NYOTA...LOL ATULIE KIMYA KIMYA SIO KUJIFANYA ANAJUA NA TIMU ZAKE ANAZOWALIPA.
ILA NAJUA HUWEZ KUZIWEKA COZ WEWE SI HATER TUUU, ILA WEMA ALIPENDEZA SANA, Wapi wifiiiii no mualikooo hahhahaaa
watanzania
mbwembwe biashara na matusi haviendi. busara ndio njia
Wema in my humble view ndie MISS TZ MZURI KULIKO WOTE waliowahi kutokea hapa nchini na mwenye NYOTA KALI YA KUPENDWA.
HATA HIVYO yeye ndie BONGO LALA KULIKO WOTE. Namsihi sana AACHANE NA NDOMO HUYO SIO WA LEVEL YAKE atafute mkaka wa maana aanze maisha maana muda unaenda ebu angalia umbo lake lilivyokubwa, kwanza nashangaa wanaosema anaendana na Ndomo wkt Ndomo anaonekana ni mdogo wake!
WAZAZI WA PANDE ZOTE MBILI WAMEULAANI SANA UHUSIANO HUU “WA MOVIE”.HAKUNA BARAKA DUNIANI KAMA YA KUTOKA KWA WAZAZI.
MPENZI kisa cha kujiaibisha jukwaani na kujiita “WIFE TO BE”??? Ingenoga Ndomo ndie angesema maneno hayo mpenzi.
WEMA MPENZI kwenye maINSTAGRAM hao wanaojiita TEAM WEMA 90% ni VITOTO VYA FORM 2 havijui maisha. Kwa sisi WADADA WENYE UMRI MKUBWA KIASI na TUNAOKUPENDA KWA DHATI tunakushauri ufuate nyayo za wenzio ambao wamefanya ya maana eg M. ODEMBA, NANCY, M. MAGESSE ETC
Afu mambo ya kwenda kuparamia WAUME ZA WATU eg CK sio mazuri shosti, tafuta mtu wa maana ufanye mambo ya maana.INAONEKANA SANA BADO UNAMMPENDA DIAMOND UNATAMANI ARUDI NA JUHUDI ZOTE HIZO...MOVE ON THERE ARE SO MANY GOOD AND EDUCATED GUYS UTAMMPATA MMOJA TU!!!