MH. Ridhiwani Kikwete akiongea kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa chama cha mapinduzi CCM sherehe zilizofanyika New York na kudhuliwa na wageni mbalimbali kutoka kila sehemu yenye tawi la CCM hapa Marekani.
MH. Ridhiwani kikwete akiongea mbele ya wa Tanzania waliojitokeza kwenye sherehe hizo za kusherehekea miaka 38 ya kuzaliwa CCM na kuwapongeza kwa kujitokeza ingawa kulikuwa na theluji siku mzima.
Bwana Isaac Kibodya akiongea kwa niaba ya katibu mwenezi wa tawi la CCM New York
Hapa ni Joyce akiongea wasifu wa Mh.Ridhiwani Kikwete historia yake kwa ufupi
Mh.Ridhiwani akiwa kwenye meza pamoja na mabalozi wa umoja wamataifa, viongiozi wa tawi na Jumuhia ya Watanzania New York.
Kwa picha zaidi kujionea mambo yalivyo kuwa yamenogo
0 comments:
Post a Comment