Movie ya kibongo iliyojaa masham sham na vijimambo chungu nzima kwa Anko kiepe jamaa hodari kwa kuuza chips na kuku na kufanya mtoto wa mzito kudata nakuleta majangaz humu ndani utakutana na Pacho mwamba , Philimoni Lutwaza na Yobnesh Yusuph inakujia hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment