Thursday, March 19, 2015

 Anaitwa Bell 9 mtoto kutoka mji kasoro bahari pande za morogoro ndipo anapotokea mkali huyu leo
alipata time yakuzungumza na  Blogu ya wananchi juu ya anachokifanya pamoja na malengo yake kiujumla.
 Alisema nashukuru kwa kupata fulsa hii nilikuwa natamani kuipata ila kwa sasa nimeipata nashukuru sana kusema ukweli muziki wetu kwa sasa umevuka hatua na upo kiushindani zaidi nakama nikiushindani najitahidi kupambana nao nakushinda ingawa wapo waliokuwa wanahit na sasa hawapo nasisitunao endelea kuwepo tunazidi kukaza kutamani kufika kule ambapo tunapahitaji kupafika.

Nilikaa kimya sana kwa muda kutokana na kujipanga ila kwa sasa nimerudi kama mashabiki wanavyoona nimeachia audio na video ya muziki vitamini nimefanya na producer wangu Monagenstar nikiwa nimemshirikisha Joh Makini kutoka kundi la weusi naninashukuru kazi inafanya vizuri katika media hata mitandaoni pia naona support ya watu wangu.
Mwisho naweza kumalizia kwa kusema sikuzote kwenye mashindano lazima mshindi ajulikane nakwasasa tupo kwenye mashindano mashabiki ndo hutoa point kuwa nani mshindi katika hili naomba wakae tayari kwa vitu vipya kutoka kwangu nawapenda naninawashukuru mashabiki zangu na media zote kwa support yao asante.

Hivyo ndivyo Bell 9 alifunguka katika maswali na majibu kupitia Blogu Ya Wananchi .

0 comments:

Post a Comment