Msanii wa kizazi kipya Immubela hivi karibuni anatarajia kuja na kitu matata kitwacho Igwerere akiwa amemshirikisha msanii mwenzake Yard na kufanyika studio za Home Town Recod na kufanywa na producer Elly Da Bway pamoja na kumaliza audio pia ataachia na video aliyofanya kwa Pablo /Apex video nakuzitambulisha kwa pamoja .
Thursday, March 19, 2015

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment