Friday, March 20, 2015

"TAARIFA- Kijana mwenye picha hii ALIFARIKI ktk ajali iliyotoke MIKUMI MBUGA ZA WANYAM tar 19-3-2015 Miliwake haujatambulia na upo HOSPITALI YA KIZITO MIKUMI. Yeyetoe atakae mfahamu afikishe taarifa kwa ndugu na jamaa zake.Ni taarifa ya majonzi lakini naomba yoyote atakayemtambua afanye jitihada anazoweza.Nimetumiwa na jamaa yangu wakaribu akiniomba nami nijaribu kutoa taaarifa itayoweza kusaidia ndugu na jamaa zake kupata taarifa" - Facebook  

0 comments:

Post a Comment