Tuesday, March 31, 2015

 Abdu Kiba kwa stage


 Ali Kiba chekecha cheketua live


 Hapa ilikuwa muogope mungu Kidela fuu mautamu


Ilikuwa show ya Lady jay Dee  na Alikiba ilikuwa patashika na baada ya show hiyo alikiba alifunguka na kusema ataachia fimbo takatifu hivi karibuni.

0 comments:

Post a Comment