Tuesday, March 31, 2015

Doch Flever





Msanii Doch Flever afunguka juu ya ujio wake mpya kupitia Blogu ya Wananchi baada yakukaa kimya tangu alipo toa jiwe kali na king of Pop tz Ali kiba sasa anasema anakuja kivingine nakukonga nyoyo za mashabiki zake kwa mkwaju mpya wa Samahani alio ufaya kwa producer hatari Sheddy Clever katayari.

0 comments:

Post a Comment