Wednesday, March 4, 2015

  Gari likiwa linatembea kiupande


 Miguu juu na bwebwe gari likiwa linatembea
 Ally Hussen akiwa makini kuchukua shot za kijana wake akiwa katika mchezo

 Akiruka sarakasi kutoka juu ya gari na kutua chini
KIKSTARMUSIC.COM
Hakika hii ndo Dubai ambayo ukifika hutotaka kurudi ulipo toka kutokana na kupata kila aina yakitu amazing kitakachokufanya upaki ukienjoy.

Tafadhari kwa wewe mtanzania mwenzangu usisubutu kujaribu mchezo kama huu ukiwa huna ujuzi sababu hata hawa nanao weza pia wapo wanaofanya na kupoteza maisha kabisa.

0 comments:

Post a Comment