
- Mohammed Mgori something wrong on his head
- Eras Rweyemamu Yericko Nyerere
- Keyrat de Key unamckiliza huyo kichaa huyo anayo matatizo y akili.cjui km hatokufa?
- Eras Rweyemamu dah aisee
- Tegemea Lema Alichosema Komba na anachosema Yericko havina tofauti kwahiyo they have cancelled each other. I do not support either of the two anyway.
- Julius J Mbalwa bangi uyo
- Albert Thomas Kawogo Huyu mtoto katoa mimba juzi juzi tu bado damu yake imevia njia ya haja kubwa ni lazima aropoke hayo anaumwa
- Mwanakombo Kombo jamaniiii
- Idd Julius Mambo Hajakua kisiasa wala hana ubinadamu
- Aneth John Mwakaguo Kichaa huyooo unafurahi mtu kufa...nonsense..
- Ummy Cannavaro Msusi Bangi
- Neema Mgaya Duuu pua yake imeangalia juu mwenzetu
- Sasamalo Mahmoud hana hikma wala busara, Ni mtu wa ajabu sana kufurahia kifo cha binadamu mwenzie.Kumbuka na wewe ipo siku utakufa tu.Dunia ni mapito tu,kwa alietangulia yatupasa kumuombea Dua njema.Na si pumba kama alizozisema hapo juu.
- Temu Tumaini Amen well saidi
- Rose Millinga Mmmhh mwenzetu ana mungu
Andrew Fovo baadhi ya watanzania...ndipo walipofikia hapo...huwezi kunilazimisha kuamini kwamba aliyeandika hayo maneno..ana hofu ya Mungu
















Sasa wewe le Mutuz kama kada mmoja wa Chadema ndio kasema neno ambalo halikukufurahisha utaanza kuhukumu chama chote!! utakuja kuadhirika tukiwa hatukuoni Liberia.
ReplyDelete