Wednesday, March 4, 2015

Yericko Nyerere mfuasi mkubwa wa Chadema na maneno yake chini mara baada ya kusikia kifo cha Mbunge wa CCM Mbinga Kapteni Komba amefariki,
sio siri kwamba Tanzania sasa tuna banyamulenge ambao aidha wamekuja wenyewe au kwa kutumwa kuja kuvuruga amani yetu hizi ni mbegu za chuki zinaaanza kupandwa pole pole katika jamii yetu ili kesho na keshokutwa Mbunge wa Chadema akifariki washabiki wa CCM wafanya the same halafu tutakuwa na Taifa gani? Kuna wanaomuunga mkono kama Mbunge wa Chadema Mnyika, binafsi huwa ninamsamehe maana huwezi kukimbia kumaliza Degree halafu ukajifanya hukuihitaji maana eti una akili nyingi sana, kuna siku tumeona picha ya Tembo wakisononeka kuona Tembo mwenzao kafa sasa imagine Mbunge mzima anafurahia kifo cha Mbunge mwenzake halafu uniambie anatoka kwenye chama kinachotegemea kushika Dola, ndio maana huwa ninasema wazi kwamba Chadema wakishika Dola nitahamia Liberia kuongozwa na Mbebezz wa Ukweli. - Le Mutuz


1 comment:

  1. Sasa wewe le Mutuz kama kada mmoja wa Chadema ndio kasema neno ambalo halikukufurahisha utaanza kuhukumu chama chote!! utakuja kuadhirika tukiwa hatukuoni Liberia.

    ReplyDelete