Posted by Williammalecela.com on Monday, March 02, 2015
 |
| Huyu ndiye Mzee Yohana Malecela Baba wa Baba wa baba yangu, aliyekuwa akijulikana sana na enzi hizo kama "Kuhodangaa" yaani Mharibifu maana inasemekana alikuwa na uwezo wa kuzuia au kuleta Mvua so Wakoloni wakakaa naye chini na kumpa dini ya Anglikana na akaishia kuwa Kiongozi wa kwanza kwa Wagogo na Tanzania nzima kuikaribisha dini ya Aglikana. - Le Mutuz Nation |
0 comments:
Post a Comment