Monday, March 2, 2015


Bofya soma zaidi kwa picha zaidi za kulishana keki kwa staili.

Picha zaidi baadae.

Baadhi ya wageni waliohudhuria The Diva's USA Valentine's Day Dinner wakiwa ukumbi wa mapumziko hotel ya Sheraton iliyopo Downtown Slver Spring, Maryland nchini Marekani wakisubili kupata kifungua kinywa huku wageni wengine wakishindwa kuamka kwa uchovu wa hafla hiyo ya Valentine iliojaa starehe, raha na mambo yote ya valentine.
 Wenyeji wakiwa ndani ya mgahawa wakisubili kuhudumiwa kwa ajili ya kifungua kinywa.
Wageni wakiendelea na kifungua kinywa.
 Kifungua kinywa kikiendelea
 Habari yenyewe ndio hiyo ni kifungua knywa kwa kwenda mbele.
 Birthday Girl nae akisafisha mwili kwa matunda.
 kifungua kinywa ndio mpango mzima.
 Picha ya pamoja

Kwa kudra zake Mwenyezi Mungu Panapo majaliwa, tuanane tena Valentine ijayo
Add caption
Meza maalumu kwa wapendanao kwenye siku ya Valentine iliyoandalia na Missy Temeke na mumewe iliyofanyika siku ya Jumamosi Februari 14, 2015 Sheraton Downtown Silver Spring na kuwaalika rafiki zao na iliyoenda sambamba na siku ya kuzaliwa ya Bi. Loveness Mamuya.


Wageni waalikwa na mwenyeji wao Missy Temeke wakiwa katika picha ya pamoja.
Wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


 KUKATA KEKI BIRTHDAY YA LOVENESS MAMUYA
 Bwana na Bi Matope wakiongea jambo 
 Bi. Loveness Mamuya akiongea jambo na kuwashukuru Missy T na Mumewe
 Wageni waalikwa
 Loveness akikata keki.
 Chumchum ya shukurani kwa Aziz kununua keki ya Birthday ya Bi. Loveness.
 Aziz akimulisha keki Bi. Loveness
Categories:

0 comments:

Post a Comment