Saturday, March 21, 2015


Mapenzi upofu ndo hivi sasa kijana chipukizi katika game Immubella avunja ukimya na kumwagika kwa kusema huyu ndo mpenzi wake ambaye wengine  tunajua kuwa alikuwa mke wa Msanii wa bongo fleva aitwae Bob Juniour.
Blogu ya mwananchi siku zote tunahitaji ukweli na uhakina kwakila jambo tulimtafuta Immu nakumuliza alikiri kuwa nimpenzi wake na anampenda sana na hajui lini hatamuacha.
Categories:

0 comments:

Post a Comment