hayahaya ama kweli usichague kazi, ilimradi kazi ikupe uhakika wa kukupa kula wew na familia yako, for the first time leo mwanasiasa jerislaa amefunguka wazi yakuwa akishindwa basi katika
uchaguzi mwaka huu amesema atahamia kwenye utangazaji au uchekeshaji haya nanukuu maneno ya jerislaaa Siasa ikikataa nitabanana na kina mcpilipili kwenye comedy..... Kama hawa wenyewe hawana mbavu basi kipaji kipo.... Waiteni waje wajione wanavyocheka....

0 comments:
Post a Comment