Posted by Williammalecela.com on Wednesday, March 04, 2015
Baraza la Maadili leo limeendelea kuhoji viongozi wa umma wanaotuhumiwa
kupata mgao wa fedha kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow ambapo leo
hii mtumishi wa Ikulu, jina limenitoka, nae amehojiwa.
0 comments:
Post a Comment