Lilian Timbuka Halafu
kesho atakuwa miongoni mwa wabunge waombolezaji mweeee, kwa Mungu
hukooo, haya bwana kama tunakumbuka kuwa ipo siku nasi tutalala kimya!
sidhani kama tunaweza kumkebehi maiti yeyote yule, Mungu tuhurumie
Chris Mpunga Kafa kiume na kuitetea nchi
Michael Matemanga Akili
kichwani kwake,aliyeambiwa hayo maneno amekaa kimya na ameenda
kuhuzulia msiba,yeye anaongea utumbo,kama mwenzake ameshasamee
Joseph Lugakingira Albert Thomas Kawogo Msando Alberto Iddy Harnaa Mkwama Emmanuel John NchimbiMwigulu Nchemba
AMELEWA SIFA huyu Kijana , Anadha Ni hata Upuuzi Atashabikiwa mfano
Hata kama ingekuwa KWELI Komba Kamtusi WARIOBA Juu YA MAUTI Je Sasa
Inahalalisha Yeye Mnyik...
Rashid Jumanne Kabisa kaka,huyu jamaa kaisha poteza mwelekeo
Mohamed Hamza Hivi huyu alieongea haya nimbunge au nimtumia viroba
WazaziMzimuni Ccm Kawe Hebu
tutafakari zaidi hilo andiko ni kweli ameandika Mnyika ? Au ndio Siasa
zetu.Maana inaonekana kama kuna Mtu alieandika kwenye Timeline ya
Mnyika ? Au kama mtu kaandika akamtumia Mnyika
Albert Thomas Kawogo Taarifa
ya ukweli ni kuwa Kept Komba Marehemu;hakutamka sentensi hiyo kuwa
'Warioba kaona anataka kufa' angesema hivyo Spika angemtaka afute kauli
haya maneno Mnyika kamlisha Marehemu huku akijua kuwa hawezi kuyakanusha
tena shame on him Joseph Lugakingira
Mwafrika Merinyo Kwanini profile pic na details za huko juu za hiyo photo yako hazionekani vizuri kaka Albert Thomas Kawogo???
Albert Thomas Kawogo WazaziMzimuni Ccm Kawe
ni maneno ya Mnyika kupitia ukurasa wake sahihi wa fb na mimi nimeweka
post hii masaa 11 baada ya yeye ku post akiwa tayari ameshashambuliwa
na wastaarab wengine wakiwemo Chadema wenzie na pia ingekuwa hivyo
angekanusha maana Juliana Shonza pia kalaani tukio hili kupitia page yake bado yuko kimya.
Iddy Harnaa Mkwama Huyu mwehu jimbo linamchanganya, aliahidi maji muda umekwisha hafanya kitu
Iddy Harnaa Mkwama Pia kama ingekuwa sio yeye angefuta na kuomba radhi
Marry Kayuya mwehu kishenzi anakashifu maiti pua yake imeangalia juu nini?
Albert Thomas Kawogo Mwafrika Merinyo
Mnyika ni rafiki yangu fb kwanini asijitetee mwenyewe badala yake nyie
ndio mnafanya kazi hiyo tuweni waungwana tusitetee hata wenye roho za
kinyama kwasababu tu za itikadi Mh Mbowe katoa salamu nzuri tu za faraja
kwa familia ya Komba ..
Mary Machaga Hivi upendo uko wapi yy mnyika anajua kesho yake
Mwafrika Merinyo Sijamtetea Mnyika kaka Albert Thomas Kawogo, chonde tafakari! Nimeuliza swali tu. Kwa kawaida yangu sitetei mtu wala kumlaani, napenda hoja zenye ukweli kuntu . . .
Maryam Kawawa Jimbo limemchanganya huyoo!
Mwafrika Merinyo Kama ameandika yeye kweli, basi mhmmmm! Nashuku heshima na ustaarabu wake . . .
Fredy Paschal waliolala ktk yeye wamepotea
Joseph Lugakingira Albert Thomas Kawogo Shukrani kwa Ufafanuzi Mkuu
Charles Misango Mdogo wangu na rafiki yangu mpendwa Albert Thomas Kawogo,
najua umekereka na maneno hayo. Hata mm sijayafurahia na kama kweli
kayasema Mnyika ninayemheshimu pia kama mdogo wangu na mbunge wangu pia,
basi aombe radhi. Maiti kwa wenye busara haidihakiwi....
Albert Thomas Kawogo Asante Kakaangu Charles Misango
Ruhazi Ruhinda Ruhazi Nimefuatilia
nukuu zenu,Kawogo na Misango, Mnyika kakosea nini, yeye kanukuu maneno
ya kapt Komba, wakati mh huyu yupo mjengoni lkiyazungumza hayo akiwa na
akili zake timamu, leo imethibitika kuwa kufa sio lazima atangulie
mkubwa kiumri, Mwenyezi Mungu...
Charles Misango Ruhazi Ruhinda Ruhazi
ukisoma vema maelezo yako, utagundua jambo. Nimeonya juu ya kauli
zetu. Mnyika ni kiongozi mkubwa sana na kwa dhamana yake alipaswa kuweka
AKIBA ya maneno. Yangetamkwa na mtu wa kawaida wala nisingejali.
Kurejea maneno ya Komba b...
Albert Thomas Kawogo Nimegundua kitu juzi jana na leo.ITIKADI ZA KISIASA NI SUMU SANA KTK MSHIKAMANO WETU zimepofusha muono wa UTU Charles Misango
Ruhazi Ruhinda Ruhazi ndg
yangu Misango nimekuelewa sn, hoja yako ni kwamba Mnyika asingenukuu
kilichosemwa na Kap Komba, hoja yangu inasimamia pale pale kwamba mtu
anapotoa kauli nzito km hii aliyoitoa Komba kwa Warioba, maana ya Mnyika
kwa mtazamo wangu ni kuwa ametuonya ...See More
Christopher Buke Joseph Lugakingira
umesema maneno ya hekima sana, liliposemwa neno hilo lilikuwa gumu
lakini kosa alilofanya huyu mtu hata akiwa na makosa namna gani akiisha
kufa tunamsamehe hatuweki chuki badala yake tunamuombea majaliwa pili
sio busara kutumia kifo
James Isdore Kabla
ya kuuliza uhakika wa umiliki wa akaunti ya facebook yenye jina la JOHN
MYIKA,Ninajiuliza maswali mengi likiwemo ni kwanini kifo ya Mwakilishi
wa Zanzibar aliyefariki ghafla hakikuwa na maneno sampuli hii?Bila shaka
hapa kunatatizo ambalo bila un...
Ruhazi Ruhinda Ruhazi nashukuru
kwa kunielewa, ninarudi kwenye hoja ya ndg yangu Misango, sina shaka
kwamba sote tunafahamu na kukubaliana kuwa kumsema mtu kwa ubaya baada
ya kifo ni jambo baya, halipendezi afapo mmoja wetu lililo jema ni
kumkumbuka kwa yale mema na baada ya hapo kubaki tukimuombea kwa
Mwenyezi Mungu kwani sisi binadamu hatujakamilika na daima tu wakosaji.
nawasilisha
Frank Lema iwe
funzo kwa watu kutoa maneno kama wao ndio wenye haki miliki ya nchi, je
ilikua busara kwa komba kumtukana mtu mzima kama warioba? narudia
kusema mabaya tunayoyatenda hukumu yake ni hapa hapa duniani. alijuaje
kama warioba kakaribia kufa yeye komba alikua Mungu? Hatumchukii ila
tujifunze na tujihoji ninapotamka haya si mkwazi mtu?
Charles Misango Ndio maana Ruhazi Ruhinda Ruhazi
nimesema hata kama ni kweli Komba alisema vike, si vema kwa mtu wa
heshima kubwa kama Mnyika kusema hayo, na niungane na wengi kutilia
shaka kama ni yake. Pilk nimasema ni vema kiongozi yeyote wa ngazi
yoyote ktk jamii kuwa makini na kauli maana zitatuandama na kubaki kama
vivuli duniani tukiisha kufa
Eva Kileo Jamani
kwa kweli Marehemu Komba alikosea sana.tena dunia nzima ilisikitika.kwa
kumdhihaki Baba.babu.mzee wetu.kwa maneno mabaya kama yale.nawala
hakuomba msamahaa.kwahiyo jamii iloyobaki tujifunze kwahaya
yaliyotokea.kuwa MUNGU NDIE MPANGAJI WA MAISHA YETU.hivyo tusitiri
vinywa vyetu.























0 comments:
Post a Comment