Ratiba ya kusafirisha mwili wa marehemu Mhe. Capt. John Komba itakuwa kama ifuatavyo:
Kesho tarehe 02/3/2015 saa 1 asubuhi misa parokia ya Mt. Bikira Maria Mpalizwa iliopo mbezi , saa 4 asubuhi mwili utaelekea Karimjee kwa ajili ya kuagwa, na saa 8 mchana mwili utaelekea airport tayari kwa safari ya Songea.
Mazishi yatafanyika tarehe 3/3/2015 kijijini kwake Lituhi.
Kufuatia Msiba huu shughuli za kamati hazitakuwepo kwa kesho tarehe 2/3/2015. Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwingine.
IMETOLEWA NA;
OFISI KATIBU WA BUNGE
1.3.2015
| NA. |
MUDA
|
TUKIO | MHUSIKA | |
1.
|
12:00 - 01:00
|
Familia na Waombolezaji kupata chai nyumbani | Kaimu Katibu wa Bunge | |
2.
|
01:00 - 04:00 | Misa ya kuaga mwili wa Marehemu | Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa | |
3.
|
04:00 - 04:30 | ·Ndugu, Jamaa na Wananchi kuwasili katika Viwanja vya Karimjee
·Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika nafasi zao |
Katibu wa Bunge | |
4.
|
04:33 | Kiongozi wa Upinzani Bungeni kuwasili | Kaimu Katibu wa Bunge | |
5.
|
04:36 | Mhe. Naibu Spika kuwasili | Kaimu Katibu wa Bunge | |
6.
|
04:39 | Mhe. Spika kuwasili | Mhe. Naibu Spika | |
7.
|
04:42 | Mhe. Waziri Mkuu kuwasili | Mhe. Spika | |
8.
|
04:50 | Mhe. Makamu wa Rais kuwasili | Mhe. Spika | |
9.
|
05:00 | Mhe. Rais kuwasili | Mhe. Spika | |
10.
|
05:00 | Mwili wa Marehemu kuwasili kwa gwaride maalum la Sergeant-At-Arms | Katibu wa Bunge | |
11.
|
05:00 - 05:15 | Sala fupi | Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa | |
12.
|
05:15 - 05:20 | Wasifu wa Marehemu | Kaimu Katibu wa Bunge | |
13.
|
05:20 - 05:30 | Salamu na Rambirambi za Chama cha Mapinduzi (CCM) | Katibu Mkuu, CCM | |
14.
|
05:30 - 05:35 | Salamu na Rambirambi kutoka kwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni | Kiongozi wa Upinzani Bungeni | |
15.
|
05:35 - 05:45 | Salamu na Rambirambi za Serikali | Waziri Mkuu | |
16.
|
05:45 - 05:55 | Salamu na Rambirambi za Uongozi wa Bunge | Mhe. Spika | |
17.
|
05:55 - 06:00 | Neno la Shukrani toka kwa familia | Mwakilishi wa Familia | |
18.
|
06:00 - 06:15 | Utaratibu wa safari | Kaimu Katibu wa Bunge | |
19.
|
06:15 - 07:15 | Kuaga Mwili wa Marehemu kulingana na Itifaki | MC | |
20.
|
07:15 | Mwili wa Marehemu kuondoka uwanjani kuelekea Uwanja wa Ndege | MC | |
21.
|
07:20 - 07:25 | Viongozi wa Kitaifa kuondoka kulingana na Itifaki | MC | |
22.
|
07:40 | Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndege | Kaimu Katibu wa Bunge | |
23.
|
08:00 | Mwili, Familia na Waombolezaji kuondoka kuelekea Songea | Kaimu Katibu wa Bunge | |
24.
|
10:00 | Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndge Songea na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa | Ofisi ya Mkuu wa Mkoa | |
25.
|
10:00 - 10:15 | Mwili wa Marehemu kuelekea Uwanja wa Majimaji | Ofisi ya Mkuu wa Mkoa | |
26.
|
10:15 - 11:00 | Mkuu wa Mkoa kuongoza wakazi wa Ruvuma kuaga mwili wa Marehemu | Ofisi ya Mkuu wa Mkoa | |
27.
|
11:00 - 01:00 | Mwili wa Marehemu kuondoka Uwanja wa Majimaji kuelekea Lituhi, Nyasa | ·Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
·Kaimu Katibu wa Bunge |
|
28.
|
01:00 | Mwili kuwasili nyumbani na taratibu za kifamilia kuendelea | MC |
0 comments:
Post a Comment