Monday, March 2, 2015

1
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Mkwajuni wilayani Chunya akiwa katika ziara ya wailaya ya Chunya Februari 28, 2015.

2
Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizungumza na wananchi wa mji mdogo wa Makongorosi  Chunya waliofunga njia na akalazimika kuzungumza nao akiwa katika ziara ya mkoa wa  Mbeya Februari 28, 2015.
(Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment