Thursday, April 30, 2015




IMG_3945


Kutoka South Africa Rapper A.K.A staa wa hit single ya All eyes on me ft. Burna Boy, Run Jozi na Congratulate ambaye ni miongoni mwa walioalikwa kwenye Zari All White partyitakayofanyika Ijumaa hii ya May 1 2015 Dar es salaam amewasili kwenye ardhi ya JK tayari.

IMG_3946
Gari la Diamond Platnumz ambalo lina jina la Diamond kwenye plate ndilo lilotumika kumchukua A.K.A mpaka hotelini.

IMG_3941
IMG_3934
Hii ni mara yake ya kwanza kwa A.K.A kuja Dar es salaam lakini aliwahi kuja Zanzibar miaka kadhaa iliyopita ambapo pamoja na kuhudhuria Zari All White Party, stori kutoka kwenye team ya Diamond zinasema mkali huyu ataingia studio kabla ya kuondoka kwa ajili ya kurekodi kolabo yao.

IMG_3930
IMG_3925
IMG_3937
IMG_3918
IMG_3920

0 comments:

Post a Comment