Posted by Williammalecela.com on Thursday, April 30, 2015
LOTUS
KYAMBA kathibitisha kupitia kipindi chake cha Nirvana kwamba mimba
aliyonayo msababishaji ni mwanahiphop Roma Mkatoliki na anampenda sana.
Big up Roma kwa kutarajia kuongeza kiumbe kingine, but vipi kuhusu yule
bibie uliyekuwa unamrusha sana fb umempiga chini au?

0 comments:
Post a Comment