Je,
umewahi kusikia mtu anajiita Mungu na ni binadamu wa kawaida na wafuasi
wake wanaamini kuwa yeye ndiye muumba wao? Yuko magharibi mwa Kenya
anajiita Jehova Wanyonyi na anadai
kuwa yeye ndiye Mungu. Paul nabiswa alimtembelea kwake katika kijiji cha Chemororoch kilomita hamsini kutoka mji wa Eldoret na kuthibitisha hilo.
kuwa yeye ndiye Mungu. Paul nabiswa alimtembelea kwake katika kijiji cha Chemororoch kilomita hamsini kutoka mji wa Eldoret na kuthibitisha hilo.
0 comments:
Post a Comment