Thursday, April 16, 2015


Hahahahah ok people I am The King Of All Bongo Social Media Network sio kwa bahati mbaya cause the FACTS is I am the most Educated Blogger in Tanzania na the Most Exposed Blogger in Tanzania nina Degree 3 nimezisomea Mbelezz at Belgium na USA na nikiwa Baharia Miaka 6 nimetembelea 90% ya Dunia hizi ni FACTS sio blah! blah! na for 30 years nimeishi under
CAPITALISM au UBEEPARI....now 20 years ago niliamua ku invest In Social Media seriously and it was one of the best thing in my life cause it is now paying me back bigtime and I love it...now as long as there is a hot Subject in the Social Media it is in my domain's ni lazina niiguse so that I can make the best out of it hakuna Subject ndogo au kubwa to me it is in a Social Media it is mine and it is Money to me...nahisi kuna wakati nawaudhi baadhi ya Miungu Watu wa Instagram ninapogusa some hot topic poleni sana ila mimi it is business na nothing personal..now nina choice to make kugusa hot topic na kuongeza followers ili nipate pesa zaidi au kuwaogopa Miungu watu le mburulazzz wa Instagram hahhahaha nimechagua kutengeneza pesa to hell na le mburulazzz UOGA WAKO NDIO UMASIKINI WAKO sasa hivi nina charge Tsh. 100, 000 kwa tangazo piga hesabu leo tayari matangazo 3 bado mengine yanasubiri store....people amua moja OGOPA UKUMBATIE UMASIKINI au SIMAMA UHESABIWE hahahah mimi hata nikiwa nimelala nachagua KUSIMAMA NIHESABIWE! - le Mutuz 

0 comments:

Post a Comment