Habari zilizotapakaa kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu tetesi za kifo
cha Hussein Machozi. Hii ilitokana na picha ya mtu aliyepata ajali na
kufananishwa na Machozi kutupiwa kwenye mtandao na kauli ya ‘R.I.P
HUSSEIN MACHOZI!’
Hata hivyo, Mzazi Willy Tuva ambaye ni mtu wa karibu na Hussein Machozi alimtafuta kwa ‘number’ zake zote na hatimaye kumpata. Hussein Machozi yuko hai, ni mzima wa afya na amekuwa mazoezini. Alishtuka baada ya kukumbana na habari kuwa amefariki, kitu kilichosababisha Mamake kuzimia na dadake kukimbizwa hospitali kutokana na mshtuko wa uvumi huo!
Hussein Machozi alimtumia Mzazi Willy Tuva picha za kutisha za mtu aliyekuwa amepata ajali mbaya na kufariki. Sura ya mtu huyo ilifanana sana naye. Hussein Machozi aliambatanisha picha hizo na ujumbe huu kwa njia ya whatsapp ;

0 comments:
Post a Comment