Friday, April 17, 2015




hot news in town ni yakuwa mwanadada irene uwoya yasemekana ana ujauzito, mtandao wa makubwa haya blog umefanya uchunguzi
kwa kupitia mitandao ya kijamii ukiwemo wa instagram wa mwanadada irene uwoya leo amefunguka na kuwapa fursa mashabiki wake waweze kumchagulia mtoto huyo jina, na inavyoonekana irene uwoya afata nyayo za thebosslady zari maana na yey tayar anamtoto wa kiume so katanagaza nia ya kutaka mtoto wa kike: nanukuu maneno ya irene uwoya wa bongo movie Ntajie majina mazuri yakike unayoyapenda.....aliyaandika maneno hayo huku akiweka picha amevaa kitaulo na kujishika tumbo 
Categories:

0 comments:

Post a Comment