![]() |
| MAKONDA ASIMAMISHA UJENZI WA KIHOLELA KATA YA KAWE , ATATUA MGOGORO WA
UJENZI WA ENEO LA NJIA KARIBU NA SHULE YA MSINGI UKWAMANI -KAWE LEO
ATAKA SHERIA ZIFUATWE,WANANCHI WAVUNJA MSINGI WA ENEO
LILILOZIBWA,WANANCHI WAMFAGILIA DC MAKONDA KWA UHODARI WAKE WA
KUWATETEA WANYONGE KUHUSU MATATIZO YA MIGOGORO YA ARDHI- Na.James R.Mwakibinga Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Paul Christian Paul C. Makonda leo ametatua Mgogoro Kati ya Wananchi wa Eneo la Qibalatan Kawe karibu na Shule Ya Msingi Ukwamani -Kawe ataka sheria za ujenzi zifuatwe, asimamisha ujenzi atoa STOP ORDER,wananchi wa Kata ya Kawe wafagilia Uteuzi wake kwani ni hodari ,chapakazi mwenye kujali Maslahi ya Wanyonge hasa katika Migogoro ya ardhi ndani ya Wilaya ya Kinondoni. |
Tuesday, April 14, 2015
Posted by Williammalecela.com on Tuesday, April 14, 2015
1 comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





Hivi kuwa na blog ni lazima uonyeshe spelling mistakes kibao?Ubora wa makala ni pamoja na uandikaji sahihi.This is not out of jealous au nini,ni constructive criticism. Balahaa = Balaa etc.
ReplyDelete