Tuesday, April 14, 2015

MAKONDA ASIMAMISHA UJENZI WA KIHOLELA KATA YA KAWE , ATATUA MGOGORO WA UJENZI WA ENEO LA NJIA KARIBU NA SHULE YA MSINGI UKWAMANI -KAWE LEO ATAKA SHERIA ZIFUATWE,WANANCHI WAVUNJA MSINGI WA ENEO LILILOZIBWA,WANANCHI WAMFAGILIA DC MAKONDA KWA UHODARI WAKE WA KUWATETEA WANYONGE KUHUSU MATATIZO YA MIGOGORO YA ARDHI-
Na.James R.Mwakibinga
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Paul Christian Paul C. Makonda leo ametatua Mgogoro Kati ya Wananchi wa Eneo la Qibalatan Kawe karibu na Shule Ya Msingi Ukwamani -Kawe ataka sheria za ujenzi zifuatwe, asimamisha ujenzi atoa STOP ORDER,wananchi wa Kata ya Kawe wafagilia Uteuzi wake kwani ni hodari ,chapakazi mwenye kujali Maslahi ya Wanyonge hasa katika Migogoro ya ardhi ndani ya Wilaya ya Kinondoni.





1 comment:

  1. Hivi kuwa na blog ni lazima uonyeshe spelling mistakes kibao?Ubora wa makala ni pamoja na uandikaji sahihi.This is not out of jealous au nini,ni constructive criticism. Balahaa = Balaa etc.

    ReplyDelete