Staa
wa kitambo katika anga la sanaa ya ugizaji, Ummy Wencelaus ‘Dokii’
amefunguka kuwa kipindi cha nyuma watu walimnyooshea sana vidole wakidai
ameukwaa Ukimwi lakini cha kushangaza mpaka leo yupo na anaendelea
kudunda.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Dokii alisema alikuwa akiumia kusikia maneno hayo lakini akamuomba Mungu ili wanaomuombea mabaya washindwe na walegee.
“Wanafikiri kumsema mtu kuwa ana ugonjwa kama huo ni vizuri, yaani walikuwa wakininyooshea vidole kila kukicha na kusema mimi nina ngoma sasa mpaka leo mbona bado nadunda, waliosema hivyo limewashuka,” alisema

0 comments:
Post a Comment