Kazi
ipo! Mwandani wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari’ juzikati alizua kizaazaa kisa ujauzito
alipohudhuria kwenye msiba wa aliyekuwa bosi wa Tip Top Connection,
Abdul Taletale ‘Abdul Bonge’ aliyefariki dunia ghafla wikiendi
iliyopita.
Tukio
hilo la Zari lilichukua nafasi katika Kijiji cha Mkuyuni, Tarafa ya
Matombo mkoani hapa ambapo mastaa kibao walisafiri kutoka Dar kwa ajili
ya mazishi ya kiongozi huyo.
0 comments:
Post a Comment