Posted by Williammalecela.com on Tuesday, April 07, 2015
Msanii wa bongo movie Niva jana alitoa kali baada yakupewa mualiko wa pasaka na kufikia
wakati wa kula star huyo alikaa na kufakamia mpaka akashindwa kuinuka hakika mjasiri aachi asili baada ya kula aliomba chombo apeleke nyumbani na kudai pilau ilikuwa imekaa poa sana .
0 comments:
Post a Comment