Baaada ya kutoa kibao chake cha msanii kutoka Tanzania House Of Talent Ruby wiki hii aliokutana na camera ya blogu ya mwananchi live katika studio ya Aby dady akiwa na mkali wa pop Tanzania Ali kiba wakifanya mkwaju unaotarajiwa kuachiwa mda wowote kuanzia sasa.
Tulipata time ya kumuliza maswali Ruby kwanini alifunguka na kufanya kazi na alikiba wakati wasanii wapo wengi na wanamajina yao ila Ruby alisema anamkubali kiba na anahisi kama nindoto basi inaelekea kutimia kwa upande wake
Ali kiba naye hakukosa kitu alisema nimejipanga kusaidia wasaniii wachanga maana najua hata mimi lilitoka huko na ninauhakika atafanya vizuri sababu namfundisha na kumuelekeza vizuri naamini hakuna kitakacho haribika kwa sasa kaeni tayari alifunguka ali kiba.

0 comments:
Post a Comment